STAILI 4 HATARI KWA UUME WAKATI WAKUJAMIIANA

Hata kama huna uume ila hisia za mwenzio kupindika uume wakati watendo ni kitu cha kuogopesha na kinaweza kukutoa katika mood ya mapenzi kabisaa.
Kutokana na tafiti zilizofanywa na wanasayansi wa marekani umegundua kua staili zifuatazo ni hatari sana na ndizo zinazopendwa hasa na wanaume wengi.


1. WOMAN ON TOP (COWGIRL)

Research iliofanywa na wabrazili imegundua kua kupinda kwa uume mara nyingi katikati ya tendo la ndoa husababishwa na staili hii. Staili hii ambayo wanawake huipenda inaweza kua hatari na kuugharim uume wako wewe mwanaume kama mwanamke atakukali vibaya. endapo uume utaingia vibaya ndani ya uke kuna uwezekano mkubwa kupinda na kusababisha maumivu makali na hata kupelekea ulemavu. hii imetokea mara nyingi kuliko watu wanavoweza zania.

2. REVERSE COWGIRL

Kama staili ya kwanza ilivo hatari hii pia inataka kufanania ila hii inakua hatari zaidi pale uume unapofyetuka na kuchomoka ndani ya uke kwa ghafla. Uume huweza baki nusu ndani na nusu nje wakati wa kuchomoka. kutokana na staili hii husababisha bend kutokea na pia  maumivu makali kwa wote kutokana na mkunjo huo




3. PEARL NECKLACE

Hii kama wengi hamijui ni staili inayohusisha mwanaume kuweka uume wake katikati ya matiiti ya mwanamke na kufuck{boob fuck}. Hii inaweza ikaonekana kitu kizuri ila amini inaweza kua hatari sana acha tuu kwa mapafu ya mwanamke bali pia hata uume wa mwanaume. Hii inatokana na kuepo kwa force kubwa katika Mfupa uitwao STERNUM ambao unaweza kufructure uume wa mwanaume. Hii hua hatari zaidi kama LUBE/ KILAINISHI hakitatumika.







4. DOGGY STYLE 

Katika ile chunguzi iliofanywa na wabrazili Doggy stlye ilirank asilimia 35 ya uharibifu wa uume. staili hii inaopendwa na wote wanaume na wanawake ni hatari sana hasa pale mnapotumia force.pia katika hali ya kwaida endapo mwanamke akatokea kujinyoosha kidogo hii inaweza kuleta mazara makubwa katika uume na kuufanya kupinda ama kua fractured. Pia madokta china wamegundua pia kama inafanywa kwa fujo inaweza kuchana uke ama kuharibu .


KWANINI URUHUSU RAHA IWE KARAHA?
Katika kufanya mapenzi wote tunatamani kuenjoy to the maximum ila tunashidwa kujua kua tutapojilinda tutaweza kuenjoy sex kwa muda mrefu zaidi.  Zipo staili nyingi tamu na salama za kufanya mapenzi bila kuhofoa afya ya viungo vyenu. Ila pia kama unapenda staili hizo hapo juu hakikisha mnafanya kwa uhangalifu na kujadili wakati wote wa tendo.


KUMBUKA

UKIMWI upo na unaua kua mwangalifu na mjali mpenzi wako. Hakikisha mnafanya Ngono salama ili kulinda afya yenu na afya ya mapenzi kwa ujumla.

Nawatakia Mlo mwema

Comments

Popular posts from this blog

NJIA MBILI RAHISI ZA KUKUZA UUME WAKO KIASILI

JINSI NA NJIA SALAMA YA KUKUZA UUME WAKO

6 SEX POSITION AMBAZO ZITABORESHA MAISHA YAKO YA MAPENZI