Posts

Showing posts from April, 2017

WHEN IS SEX TOO MUCH

Image
WHEN AND WHY SEX BECOMES TOO MUCH?     Sex haina kipimo kwamba utapima kama ujazo wa maji au uzito wa vyuma, ila kihalisia kuna muda inafika wewe kama wewe unapaswa uone hapa nimezidi sasa. pia zipo dalili na mabadiliko ya mwili ambayo yatakuonyesha kwamba you are having too much. nitayagawa katika makundi mawili