WHEN IS SEX TOO MUCH

WHEN AND WHY SEX BECOMES TOO MUCH?
  

 Sex haina kipimo kwamba utapima kama ujazo wa maji au uzito wa vyuma, ila kihalisia kuna muda inafika wewe kama wewe unapaswa uone hapa nimezidi sasa.
pia zipo dalili na mabadiliko ya mwili ambayo yatakuonyesha kwamba you are having too much. nitayagawa katika makundi mawili

         1}KWA WANAUME
      Kufanya mapenzi kupita kiasi inaweza kuleta matatizo yafuatayo kwa wanaume
                            a) ERECTILE DYSFUCTION
          Hii ni kushinda kusimamisha kwa wakati au kusimamisha kwa muda mfupi au kupata Semi-Erection (uume.legelege) hiii inasababishwa na kuchokwa kwa mishipa ilioko kwenye uume wa mwanaume na kusababisha kutokua na nguvu. Mishipa hii hupoteza ufanisi wake inapofanya kazi mfululizo kwa muda mrefu.
Hii hupunguza perfomance ya mchezo kitandani na hivo pia kumuondolea mwenza wako hamu ya kufanya mapenzi na wewe

SOMA HAPA STAILI HATARI ZA KUFANYA MAPENZI ZENYE MADHARA MAKUBWA

                       Nini cha kufanya kuepuka hili......
        Sex ni health activity ikitumika vema. Sex inaweza kukupa positive feelings na hata hamasa ya kufanya kazi na hivo sex ina nafasi kubwa katika maisha ukiacha tu swala la uzazi.
        Kama tulivosema mwanzo sex haina kipimo ila tujifunze kuweka limit na kua na a well known and formatted sex behaviours.
Jaribu kukubaliana na mwenzi wako kua na ratiba ya kufanya mapenzi kila wiki mara tatu au nne. Hii ni kwa afya zaidi lakini muda mwingine mnaweza kufanya fun activities kama cuddling na smooching.  Kumbuka, Too much of everything is harmful so jicontrol


                    b) LOW SPERM COUNT
         Hili ni tatizo ambalo wanaume wengi wanaobanjuka daily wanaliface. kuna research zinasema kwamba mapenzi Daily yanaongeza sperm count lakini kwa kweli its the worst behaviour ever na tena ni hatari sana inaweza kusababisha ugumba ama kuwa na watoto njiti. The more you sex the more you loose sperm na kama hautatoa mda kwa sperm zako kujizalisha tena basi sperm counts hupungua na husababisha hata uzito wa sperm kupungua.

 SOMA HAPA NJIA ZA KIASILI ZA KUKUZA UUME ZISIZO NA MADHARA

                  nini cha kufanya kuepuka hili?...
       Kama ilivokua kwa hatua ya kwanza basi na hapa napo ni hivo hivo. kua na mpangilio wa kufanya mapenzi na ratiba inayoeleweka.
jitahidi kula mazao ya nuts kama Karanga na korosho. pia kula matunda muhimu kama ndizi, matikiti maji na matango. Fanya mazoeezi ya mwili na epuka kupata joto sehemu za korodanini.


                  2} KWA WANAWAKE
   Kufanya mapenzi kupita kiasi inaweza kusababisha yafuatayo kwa wanawake....
        a) ADDICTION
         Hii mara nyingi hutokea kwa wote ila in worse case scenario hua pale inapomtokea mwanamke.
kitendo cha kuwaza na kutamani kufanya ngono mara kwa mara kinaweza kumuharibu mwanamke kisaikolojia na hata afya yake ya uzazi hudorora.
mwanamke aliokua addicted sexual ni rahisi kupoteza dira ya maisha kwani anakosa maamuzi juu ya mwili wake kutokana na muemko na matamania anayoyapata .


       b)KUTOKURIDHIKA
  Mwanamke ambae amezoea kufanya mapenzi mara kwa mara ni ngumu kuridhika kimapenzi na hivo kua ngumu kudumu katika mahusiano. Wanawake wengi wenye kufanya mapenzi mara kwa mara huwa na watoto wao wakiwalea wenywe (single moms) au wamewaacha watoto kwa wapenzi wao baaada ya mahusiano kuvunjika.

love affair
WWW.VERYHOTPANT.BLOGSPOT.COM


MAPENZI NI STAREHE. USIYAFANYE YAKAWA KARAHA. KUA NA MPANGILIO WA MAANA ILI UWEZE KUENJOY KWA MUDA MREFU. MSHAURI MPENZI WAKO NA KUMUELEWESHA ILI KUWE NA USAWA.


MWISHO WA MAKALA HII NDO MWANZO WA MAKALA ZINGINE. MSHIRIKISHE NA MWENZAKO ILI KUMPA ELIMU HII.
MPAKA WAKATI MWINGINE TUKUTANE HAPA HAPA

Comments

Popular posts from this blog

NJIA MBILI RAHISI ZA KUKUZA UUME WAKO KIASILI

JINSI NA NJIA SALAMA YA KUKUZA UUME WAKO

6 SEX POSITION AMBAZO ZITABORESHA MAISHA YAKO YA MAPENZI